Habari ndio hiyo, Fiston Kalala Mayele amewafanya kitu mbaya Simba siku ya leo
Mabao yake mawili yameihakikishia Yanga kuondoka na Ngao ya Jamii kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuichapa Simba mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Tunaweza kusema wana bahati kwani Mayele angeweza kuondoka na mpira siku ya leo
Tuliwaambia, hawatuwezi na tutaendelea kuwanyanyasa licha ya jitihada za kuwabeba, wamepasukaaaa
ADVERTISE HERE