Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Simon Patrick ametoa ufafanuzi kuwajibu wanaohoji kwa nini Yanga imeweka ulazima wa anayetaka kuwa mfanyakazi wa Yanga kuwa Mwanachama
Simon amesema hitaji hilo liko ndani ya Katiba ya Yanga, Katiba ambayo ilitungwa mara ya kwanza ya Wazee wa klabu hii kongwe zaidi nchini
Simon ameeleza kushangazwa na baadhi ya wanahabari kuingia katika mkumbo wa kuhoji masuala ambayo wangeweza kupata majibu yao kama wangesoma Katiba ya Yanga
ADVERTISE HERE