Yanga imetangaza nafasi mbalimbali za kazi ambapo kigezo cha kwanza mwombaji wa nafasi yoyote lazima awe Mwanachama wa Yanga
Hizi hapa nafasi zilizotangwa;
- Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer)
- Mkurugenzi wa fedha (Director of Finance)
- Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano
- Meneja wa Mahusiano (Relationship Manager)
- Afisa Rasilimali watu (Human Resource Manager)
- Afisa Habari (Information Officer)
- Meneja wa Miradi (Project Manager)
- Msaidizi wa Ofisi ya Mtendaji Mkuu
- Daktari wa timu

ADVERTISE HERE