Mwana Jangwani katika muonekano mpya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2022
Mwana Jangwani katika muonekano mpya

Mwana Jangwani ilizinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2016, imedumu na muonekano wake kwa takribani miaka sita kabla ya mabadiliko yaliyofanyika sasa

Toleo jipya limetoka, Ma Admin wanaendelea kupokea maoni ambayo yatazingatiwa katika maboresho mengine yajayo

Lakini lengo la mabadiliko yaliyofanywa ni kuzingatia matumizi ya teknolojia mpya na kuongeza ubunifu kidogo

Kila kitu kilichokuwepo kwenye toleo la zamani, kimewekwa katika toleo jipya, yapo mengine mazuri yameongezwa

Menu ya App imehamishiwa chini, ipo menu nyingine ambayo ina vitu vingine ambavyo havionekani hapo chini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
32m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’