Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba
Mtanange huo utapigwa kesho Jumamosi kunako dimba la Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amewaandaa vijana wake kikamilifu, tayari kutetea Ngao ya Jamii siku ya kesho
Hakuna maneno mengi, lakini shughuli watakayokutana nayo dimba la Mkapa, 'watajuuuta'
Habari njema zaidi ni Bodi ya Ligi kuruhusu nyota wote 12 wa kigeni kutumika katika mchezo mmoja
Yaani wachezaji wote 12 wanaweza kuwa sehemu ya mchezo, 11 ruksa kuanza
ADVERTISE HERE