Singida Big Stars wamekanusha taarifa zinazomuhusisha winga wao raia wa Brazil Dario Frederico kusajiliwa na Yanga
Dario ni mmoja wa nyota watatu kutoka Brazil waliosajiliwa na Singida Bigi Stars
Winga huyo ameonyesha umahiri katika michezo miwili ya kirafiki ambayo Singida Big Stars wamecheza dhidi ya Zanaco na Mtibwa Sugar
ADVERTISE HERE