Tamasha la Wiki ya Mwananchi lililofanywa na Yanga uwanja wa Benjamin Mkapa juzi, limeingiza Tsh Milioni 521,460,000
Zaidi ya mashabiki 42,000 walipata nafasi ya kushuhudia Tamasha hilo katika uwanja wa Mkapa
Licha ya kiingilio cha chini kuwa Tsh 10,000/- Mzunguuko, Wananchi walijitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Watani zao Simba wamehitimisha Tamasha lao pia ambapo licha ya mashabiki wengi kuingia dimba la Mkapa, mapato yaliyopatikana ni takribani Tsh Milioni 314
Simba waliweka viingilio vya chini ambapo kiingilio cha Mzunguuko kilikuwa Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE