Kesho Jumanne, August 09 2022 droo ya hatua ya awali (preriminary) ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho, itafanyika Cairo, Misri
Yanga ni miongoni mwa timu ambazo zitashiriki hatua ya awali hivyo siku ya kesho mpinzani wake katika hatua hiyo atafahamika
Aidha timu nyingine ya Tanzania, Simba nayo inaanzia hatua ya awali kama ilivyo kwa Geita Gold katika kombe la Shirikisho
Ni Azam Fc pekee ambao wataanzia raundi ya kwanza kwenye michuano ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE