FT : Yanga 0-2 Vipers Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Aug 2022
FT : Yanga 0-2 Vipers Fc

Mchezo umemalizika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Yanga kupoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Vipers Fc

Makosa mawili yaliyofanywa kwenye mchezo yameigharimu Yanga kupoteza mchezo huo

Ilikuwa kipimo kizuri kwa Yanga kwani umewasaidia benchi la ufundi kufahamu maboresho wanayopaswa kufanya

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi, amesema amepata kipimo kizuri kwa vijana wake ambao wamefanya mazoezi kwa siku 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’