Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Manara leo amekuwa sapraisi kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kuibuka uwanjani kutambulisha kikosi
Inafahamika Manara amefungiwa miaka miwili na faini ya Tsh Milioni 20, hakuna aliyetarajiwa kama angeibuka uwanjani leo
Manara ametambulisha wachezaji na benchi la ufundi na baada ya kazi hiyo akaondoka uwanjani kuendelea na majukumu yake




ADVERTISE HERE