Wachezaji wa Yanga tayari wamewasili uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa tukio la utambulisho katika kilele cha wiki ya Mwananchi
Baada ya tukio hilo, watacheza mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Vipers Fc ambao utapigwa kuanzia saa 1 usiku







ADVERTISE HERE