Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amempokea kocha maarufu Pitso Mosimane ambaye ametua kushuhudia kilele cha wiki ya Mwananchi hapo kesho
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa leo Mosimane atafanya mafunzo na mpira na watoto, baadae kufanya Mkutano na Wanahabari

ADVERTISE HERE