Ni rasmi Yanga imemuongeza mkataba kocha Mkuu Nasreddine Nabi
Wananchi wamezima tetesi zilizokuwa zikimuhusisha Nabi na klabu ya FAR Rabat ya Morocco
Baada ya mafanikio makubwa aliyopata msimu uliopita kwa kushinda Mataji yote, Nabi ataendelea kubaki na Wananchi mpaka mwaka 2024
ADVERTISE HERE