Timu ya Vipers Fc itawasili nchini leo na kikosi cha wachezaji 21 tayari kwa mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya wenyeji wao, Yanga
Mchezo huo wa Kimataifa wa kirafiki, utapigwa dimba la Benjamin Mkapa Jumamosi, August 06
Taarifa iliyotolewa na Vipers Fc, imetaja majina ya wachezaji wanaokuja nchini ambao ni;
Goalkeepers:Β Fabien Mutombora, Alfred Mudekereza, Dennis Kiggundu.Β
Defenders:Β Halid Lwaliwa, Livingstone Mulondo, Dissan Galiwango, Hilary Mukundane, Isa Mubiru, Ashraf Mandela.
Midfielders:Β Bobosi Byaruhanga, Bright Anukani, Marvin Joseph Youngman, Siraje Sentamu, Olivier Osomba, Ibrahim Orit, Abdu Karim Watambala.Β
Forwards:Β Cesar Manzoki, Yunus Sentamu, Milton Karisa, Najib Yiga, Abubakar Lawal.
ADVERTISE HERE