Leo Wanachama na Mashabiki wa Yanga wameshiriki kwenye zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es salaam
Ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake ni siku ya Jumamosi, August 06 uwanja wa Benjamin Mkapa






ADVERTISE HERE