Beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani 'Cotton' kesho Jumamosi anatarajiwa kuachana na ukapera kwa kupata jiko jipyaa.
Yondani jana alihudhuria Send Off ya mkewe mtarajiwa. Ndoa itafanyika jijini Dar es salaam.
Tunamtakia kila la kheri katika maisha yake ya ndoa anayotarajiwa kuyaanza kesho.

ADVERTISE HERE