Winga wa Yanga Bernard Morrison leo amekamilisha idadi wa wachezaji wa kigeni walioingia kambini Avic Town katika pre-season kujiandaa na kilele cha wiki ya Mwananchi na msimu mpya wa mashindano 2022/23
Baada ya kukanyaga ardhi ya Avic Town, Morrison aliibua shangwe kutoka kwa mashabiki wa Yanga walipojitokeza kwa wingi kushuhudia mazoezi ya timu yao
ADVERTISE HERE