Leo Yanga ilizundua rasmi shamrashamra za Wiki ya Mwananchi ambazo zitahitimishwa Jumamosi, August 06 pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga pia ikaitangaza benki ya CRDB kuwa mdhamini wa Wiki ya Mwananchi kwa mwaka huu
Makamu wa Rais Yanga na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Wiki ya Mwananchi Arafat Haji na Mkuu wa Kitengo cha Kadi CRDB Farid Seif walisaini makubaliano hayo ambayo ni maalum kwa ajili ya wiki ya Mwananchi "Byut Byut"
Hii ni mara ya kwanza Wiki ya Mwananchi inakuwa na Mdhamini maalum
ADVERTISE HERE