Morrison yuko tayari kwa wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2022
Morrison yuko tayari kwa wiki ya Mwananchi

Wiki ya Mwananchi imezinduliwa rasmi leo, Wananchi watashiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii

Itahitimishwa siku ya Jumamosi, August 06 kwa mchezo dhidi ya Vipers Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya utambulisho wa kikosi

Kulikuwa na maswali mengi kuhusu Bernard Morrison, mwamba yupo tayari kwa wiki ya Mwananchi

Hakikisha umekata tiketi yako mapema kuelekea Tamasha hili kubwa zaidi ya michezo nchini

Yanga tayari imetangaza viingilio ambapo Mzunguuko ni Tsh 10,000/-,Β  VIP C ni Tsh 20,000/- na VIP B ni tsh 30,000/-

Pia kuna tiketi za VIP A zinazopatikana kwa gharama ya Tsh 150,000/- na VVIPΒ  ni Tsh 300,000/-

Tiketi zinapatikana katika maduka ya TTCL kote nchini, vituo vingine vitatangazwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’