Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga imebariki ombi la Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa ambaye hataongeza mkataba
Mkataba wa Senzo unamalizika Julai 31 lakini ameomba asiongeze mkataba huo akihitaji kurejea Afrika Kusini kuwa karibu na familia yake
Taarifa iliyotolewa na Yanga, imebainisha kuwa kupitia kikao cha Kamati ya Utendaji kilichofanyia leo, ombi la Senzo lilijadiliwa na Kamati kuridhia
Aidha Kamati imemteua Wakili Msomi Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa mpito

ADVERTISE HERE