Tanzania imetinga raundi ya pili kusaka tiketi ya michuano ya CHAN 2023 wakiichapa Somalia mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Tanzania imepata ushindi wa jumla wa mabao 3-1 baada ya kushinda bao 1-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa dimba la Mkapa
Abdul Suleiman Sopu na Dickson Job walifunga mabao ya Tanzania siku ya leo
Tanzania sasa itaumana na Uganda katika mchezo ambao matokeo huenda ikawapa tiketi ya kufuzu fainali ya michuano hiyo itakayofanyika Algeria




ADVERTISE HERE