Jumatatu, August 01 rasmi wiki ya Mwananchi itazinduliwa, hakikisha umekamata uzi wako mepama kuelekea tukio kubwa siku ya Jumamosi
Ni kilele cha wiki ya Mwananchi, August 06 pale uwanja wa Benjamin Mkapa, kikosi cha Yanga kitatambulishwa rasmi kwa mechi ya kukata na shoka
Ni wakati bora sana kuwa shabiki wa Yanga, mabingwa wa nchi na timu pendwa zaidi Tanzania
ADVERTISE HERE