Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mapinduzi Balama 'Kipenseli' amejiunga na klabu ya Mtibwa Sugar
Balama anatua Mtibwa Sugar akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Baada ya kukaa nje kwa muda mrefu, ni wakati wake sasa kurejesha makali katika klabu ya Mtibwa ambayo bila shaka itamuhakikishia nafasi ya kucheza mara kwa mara
Wananchi tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake katika timu hiyo
ADVERTISE HERE