Wananchi hawajawahi kukosea linapokuja suala la jezi kila msimu. Hongera kwa mbunifu wa jezi hizi Sheria Ngowi kwani ameendelea kuwapa Wananchi jezi zilizobora
Twendeni madukani tukanunue jezi kuhakikisha August 06 pale dimba la Mkapa, uwanja unapambwa na jezi za msimu huu...!





ADVERTISE HERE