Yanga yazindua jezi kuelekea 2022/23

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2022
Yanga yazindua jezi kuelekea 2022/23

Klabu ya Yanga leo imezindua rasmi jezi kuelekea msimu wa mshindano 2022/23

Akizungumza katika halfa ya uzinduzi, Sheria Ngowi aliyebuni jezi hizo, kila toleo linabeba alama yake

Jezi za nyumbani (kijani) zimenakshiwa na vivutio muhimu katika nchi ya Tanzania wakato jezi ya ugenini (njano) imebeba ujumbe wa kuunganisha matawi yote ya Yanga Tanzania

Jezi ya tatu ambayo hutumika kwa dharura, imebeba historia ya wachezaji waliowahi kutamba miaka ya nyuma kunako klabu ya Yanga

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema jezi hiyo zitapatika nchi nzima kuanzia kesho Ijumaa

Bei elekezi ya jezi ni Tsh 35,000/-, Injinia Hersi amewaasa Wananchi kuepuka kununua jezi kwa bei tofauti na hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’