Mosimane ndani wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jul 2022
Mosimane ndani wiki ya Mwananchi

Aliyekuwa kocha wa Al Ahly, Pitso Mosimane atakuwa miongoni mwa wageni watakaoshuhudia kilele cha Wiki ya Mwananchi inayofanyika Agosti 6 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Pitso amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said

"Asante kwa mwaliko wa Wiki ya Mwananchi! Nimefurahiya kuwa nimekubali mwaliko wa kukutembelea na kutumia muda kujifunza zaidi kuhusu tukio hili adhimu katika nchi yako" aliandika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’