Wakati leo Yanga na Sportpesa wakiweka rekodi kwa kusaini mkataba wa udhamini wenye thamani ya Bilioni 12.335 kwa kipindi cha miaka mitatu, pia ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said
Kwa mafanikio haya ambayo Yanga wanaendelea kuyapata, ni baada ya kazi nzuri iliyofanywa usiku na mchana, Hersi akiwa kinara katika kuhakikisha wanairejesha heshima ya Yanga na kuipa thamani
Kutoka kupokea Bilioni 1 ya udhamini kwa mwaka mpaka Bilioni 4 kwa mwaka, ni hatua kubwa sana, Hersi pamoja na uongozi uliopita chini ya Dk Mshindo Msolla wanastahili pongezi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY HERSI...!
ADVERTISE HERE