Yanga kucheza mechi tatu za kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2022
Yanga kucheza mechi tatu za kirafiki

AFisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema katika maandalizi yao kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi, watacheza mechi tatu za kirafiki Avic Town

Bumbuli amesema mechi hizo ni za ndani (hakuna mashabiki), Wananchi wataishuhudia timu yao kwa mara ya kwanza kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi

Aidha Bumbuli amesema wachezaji wanne ambao hawajaripoti kambini kutokana na udhuru, wachezaji hao watawasili leo

Amewataja nyota hao kuwa ni Yannick Bangala, Djuma Shabani, Fiston Mayele na Bernard Morrison

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’