Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra na Yacouba Songne ni miongoni mwa wachezaji ambao wamerejea na kuanza pre-season na wachezaji wengine
Picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wakiendelea na mazoezi Avic Town yakiwa ni maandalizi ya msimu mwingine wa mashindano 2022/23







ADVERTISE HERE