Baada ya Azam FC kuchapwa leo na Simba, imeipisha Yanga kwenye nafasi ya pili. Yanga ina alama 34 huku Azam FC ikibaki na alama 33 sawa na Singida United iliyoichapa Mbao FC mabao 2-1 jijini Mwanza.
Michezo yote ya leo
Michezo yote ya leo
ADVERTISE HERE