Kaseke katika majukumu mapya Singida Big Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2022
Kaseke katika majukumu mapya Singida Big Stars

Kiungo wa zamani wa Yanga Deus Kaseke ametua Singida Big Stars akiungana na Paul Godfrey 'Boxer' na Yassin Mustafa ambao wamesajiliwa na timu hiyo

Kaseke amekwenda kuungana na nyota wengine wa zamani wa Yanga Amisi Tambwe, Juma Abdul na Geofrey Mwashiuya ambao wanaitumikia SBS

Hans van Der Pluijm ndiye mkufunzi wa timu hiyo

Kila la kheri 'Mwaisa mtu Mbadi'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’