Msuva aibukia Saudi Arabia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2022
Msuva aibukia Saudi Arabia

Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Simon Msuva amejiunga na timu ya Al Qadsiah ya Saudi Arabia inayoshiriki ligi daraja la pili

Klabu hiyo ilimtambulisha Msuva jana akisaini mkataba wa mwaka mmoja

Ofa nono iliyotolewa ndio iliyomfanya Msuva akache ofa nyingine alizokuwa nazo

Katika klabu hiyo Msuva atavuna mshahara wa takribani dola 50,000 kwa mwezi ambao ni zaidi ya Tsh Milioni 100 za Kitanzania

Yanga ni moja ya klabu zilizofanya jitihada za kumsajili Msuva lakini mwenyewe aliweka kipaumbele kucheza nje ya nchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’