Habari njema kwa Wananchi kule mikoani jezi za klabu ya Yanga zitapatikana katika Matawi kote nchini
Viongozi wa Matawi ambayo yamekidhi vigezo vya kuwa na Wanachama kuanzia 100, wawasiliane na uongozi kwa ajili ya kuweka oda ya jezi mpya
Utaratibu huu utaharakisha upatikanaji wa jezi nchi nzima kwa urahisi

ADVERTISE HERE