Klabu ya Yanga leo Jumanne, Julai 19 itakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika Salamander Tower, GSM Samora jijini Dar es salaam kuanzia saa tano na nusu asubuhi
Wengi wanataka kufahamu kuhusu pre-season, wiki ya Mwananchi na mengineyo
Majibu ya maswali hayo yatapatika katika Mkutano huo
ADVERTISE HERE