Kila la kheri Yassin Mustafa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2022
Kila la kheri Yassin Mustafa

Klabu ya Singida Big Stars imekamilisha usajili wa aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Yanga, Yassin Mustafa

SBS wamemtambulisha Yassin leo akisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu

Anakuwa mchezaji wa pili kusajili na SBS akitokea Yanga kwani matajiri hao kutoka mkoani Singida pia wamemsajili Paulo Godfrey 'Boxer' na wakati huohuo wakihusishwa na Deus Kaseke

Yassin ameitumikia Yanga kwa misimu miwili, akiwa sehemu ya kikosi kilichotwaa mataji matatu katika msimu uliomalizika

Kila la kheri Yassin...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’