Mziza mfungaji bora ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jul 2022
Mziza mfungaji bora ligi ya vijana

Mshambuliaji wa Yanga U20 Clement Mziza ameibuka kuwa mfungaji bora wa michuano ya ligi ya vijana U20

Mziza ameondoka na tuzo hiyo baada ya kupachika mabao matano katika michuano hiyo iliyomalizika leo

Mtibwa Sugar wametwaa ubingwa kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuichapa Mbeya Kwanza mabao 4-1 katika mchezo wa fainali

Azam Fc wameibuka washinda wa tatu baada ya kuichapa Coastal Union kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya matokeo ya sare ya bao 1-1

Yanga U20 waliondoshwa kwenye michuano hiyo katika hatua ya robo fainali wakichapwa bao 1-0 na Mbeya Kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’