Shaibu afurahia '4G' ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2018
Shaibu afurahia '4G' ya Yanga
Mlinzi wa kati wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' ambaye kwa sasa ni majeruhi, amewapongeza wachezaji wenzake kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji.

Shaibu amebainisha furaha yake kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.

"Mwendo wa 4G ndio umeanza ivyoo," ameandika Shaibu



Shaibu aliumia kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi mapema mwezi Januari mwaka huu.

Ni miongoni mwa wachezaji 11 wa kikosi cha Yanga ambao ni majeruhi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’