Aziz Ki ni MWANANCHI

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2022
Aziz Ki ni MWANANCHI

Hatimaye Yanga imekata mzizi wa fitina kwa kumtambulisha kiungo mshambuliaji Stepahe Aziz Ki kuwa mchezaji halali wa Mabingwa hao wa Tanzania Bara

Aziz Ki ametua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili

Usajili wa mwamba huyu anayewania tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa klabu ya Asec Mimosas na Ligi Kuu ya Ivory Coast, ni ishara ya dhamira ya Yanga katika kusaka mafanikio kwenye ngazi ya Kimataifa

Sio hadithi tena za kusadikika, Aziz Ki ni MWANANCHIIIIII...!

Karibu Jangwani fundi wa mpira

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’