Maswali yamekuwa mengi, wapo walioanza kukata tamaa na kuamini zile porojo za 'wachambuzi wa mchongo' huko mitandaoni wanaowaaminisha kuwa Yanga wamemkosa fundi 'aka' Messi wa Afrika, Stephane Aziz Ki
Ukweli ni kwamba Aziz Ki tayari yuko jijini Dar es salaam, leo Wananchi watakata mzizi wa fitina kwa kumtambulisha
Angalizo:
Unaweza kuwa 'usiku mnene' hivyo hakikisha usingizi wote unaumaliza mchana! Lakini pia huu ushauri wa Manara unaweza kuwasaidia wale ambao waliamini na pengine bado hawaamini Yanga inamshusha Aziz Ki!
ADVERTISE HERE