Nyota walioitwa Stars hatihati kukosa pre-season

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2022
Nyota walioitwa Stars hatihati kukosa pre-season

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi mbili za kuwania kufuzu michuano ya CHAN dhidi ya Somalia

Mchezo wa kwanza utapigwa Julai 23 na mchezo wa marudiano kupigwa Julai 30 mechi zote zikipigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Stars inatarajiwa kuingia kambini Julai 15 kuanza maandalizi ya michezo hiyo

Ni wazi nyota wa Yanga waliojumuishwa katika kikosi cha Stars huenda wakakosa maandaizi ya pre-season ya klabu

Yanga bado hawajaweka hadharani wanakwenda kuweka kambi wapi lakini watapaswa kuwa wamerejea kabla ya August 06 kwa ajili ya kilele cha wiki ya Mwananchi

Nyota wa Yanga wanaotarajiwa kuingia kambini na timu ya Taifa ni Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari, Farid Mussa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum na Salum Abubakar

Habari njema kwa kocha Nasreddine Nabi, hata kama atawakosa wachezaji hao, watakuwa wamepata maandalizi mazuri pia wakiwa na timu ya Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’