Ushindi wa leo dhidi ya Njombe Mji umeifanya Yanga ifikishe alama 34, alama nne nyuma ya Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 38.

Simba itachuana na Azam FC kesho kwenye mchezo ambao matokeo ya sare au ushindi kwa Azam FC yatainufaisha zaidi Yanga.
Hata hivyo bado kuna michezo 13, sawa na alama 39 hivyo safari ya kuelekea kwenye ubingwa bado iko wazi bila ya kujali matokeo ya Simba na Azam Fc kesho.

ADVERTISE HERE