Yanga imetambulisha usajili wa mlinzi wa kushoto Joyce Lomalisa Mutambala
Lomalisa raia wa DR Congo, anatua Yanga akitokea klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola
Anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili lililofunguliwa Julai 01
Karibu Jangwani Lomalisa...!
ADVERTISE HERE