Arafat Haji Makamu wa Rais Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2022
Arafat Haji Makamu wa Rais Yanga

Arafati Haji amechaguliwa na Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga kuwa Makamu wa Rais wa Yanga

Arafat amemshinda mpinzani wake Suma Mwaitenda kwa kupata kura 545 wakati Mwaitenda akipata kura 234

Sasa ni rasmi, Rais wa Yanga ni Injinia Hersi Said na Makamu wake ni Arafat Haji

Waliojaribu kuitenganisha pacha hii ya uongozi wameshindwaaaa...!

Walioshinda Kamati ya Utendaji ni Yanga Makaga, Alexander Ngai, Rodgers Gumbo, Seif Gulamali na Munir Selemani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’