Gael Bigirimana ni Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jul 2022
Gael Bigirimana ni Mwananchi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ametambulisha rasmi usajili wa kiungo Gael Bigirimana aliyewahi kuitumikia Newcastle United

Bigirimana ametambulishwa rasmi baada ya Mkutano Mkuu uliochagua viongozi wa klabu ya Yanga

Injinia Hersi amesema Yanga ni klabu ya kwanza kumleta mchezaji aliyewahi kucheza ligi kuu ya Uingereza

Aidha Hersi amesema baadae leo (saa tisa usiku) watatambulisha mchezaji mwingine na watafunga usajili siku ya Jumatatu kwa kutambulisha mchezaji mwengine

Hersi amedokeza kuwa mchezaji huyo anayetokea Afrika Magharibi, amewahi kucheza klabu ya Rayo Vallecano ligi kuu ya Hispania (La Liga)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’