Leo Ijumaa majira ya saa tatu usiku, wagombea wa nafasi za uongozi wa Yanga (Rais na Makamu wa Rais) watakuwa 'mbashara' katika kipindi cha Kikaangoni, Azam Sport 1
Mwanachama wa Yanga hupaswi kukosa kipindi hiki ili kusikiliza sera, mikakati na malengo ya kila mgombea kuelekea siku ya uchaguzi hapo kesho

ADVERTISE HERE