Klabu ya Dodoma Jiji leo imemtambulisha mshambuliaji Randy Bangala Litombo ambaye ni mdogo wake na kiungo wa Yanga Yannick Bangala
Randy hucheza nafasi ya ushambuliaji mara ya mwisho aliichezea timu ya TP Les Croyant ya DRC Congo na amewahi kuzichezea timu za Fc Renaissance,Jeunesse Sporting Tsangu na AS Maniema Union za DRC Congo.
Randy amevutiwa kuja kucheza Tanzania baada ya mafanikio ya kaka yake Yannick katika klabu ya Yanga
ADVERTISE HERE