Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema uongozi haujakurupuka kumsajili winga Bernard Morrison kutoka klabu ya Simba
Manara amesema usajili huo umezingatia mapendekezo ya benchi la ufundiΒ
Manara ambaye alitua Yanga akitokea klabu ya Simba pia, amesema yamezekana kuna Wananchi hawakufurahishwa na ujio wa Morrison kutokana na matukio aliyofanya nyuma lakini maisha ya mpira hayahitaji visasi
Amesema wamezungumza na Morrison kumuelezea mahitaji ya klabu na wana matumaini kero zake nyingi sasa atazifanya uwanjani
ADVERTISE HERE