Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara leo saa tano asubuhi atazungumza na wanahabari Serena Hotel jijini Dar es salaam
Manara ataweka hadharani kilichotokea mkoani Arusha kwenye mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha Manara na Rais wa TFF Wallace Karia wakitupiana maneno
Tayari TFF wametoa taarifa ya Manara kufikishwa kwenye Kamati ya Maadili kutokana na tukio hilo
ADVERTISE HERE