Uongozi wa Yanga umeahidi wiki hii watawatambulisha nyota wote wa kigeni waliowasajili kwa ajili michuano mbalimbali msimu ujao
Majira ya saa sita na dakika 1 usiku, Yanga imetambulisha usajili wa winga Bernard Morrison akiwa ni mchezaji wa pili wa kigeni kutambulishwa baada ya Lazarus Kambole
Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema zoezi hilo litaendelea wiki nzima katika muda uleule
Manara amedokeza kuwa wamekamilisha usajili wa wachezaji WATANO wa kigeni hivyo bado kuna wengine watatu
ADVERTISE HERE