Hatimaye Yanga imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison anayerejea akitokea klabu ya Simba
Baada ya sintofahamu ya miezi kadhaa, sasa ni rasmi, Morrison ni Mwananchi
Waswahili wanasema hakuna mahali pazuri kama nyumbani, lilikuwa suala la muda tu Morrison kurudi
ADVERTISE HERE